Msema Kweli Motorcycles
Mashine ya kazi. Modeli za bodaboda na za barabara ndefu, zote na namba ya chesi na injini iliyorekodiwa.
- Namba ya chesiKila pikipiki inauzwa na namba yake ya chesi na ya injini — hakuna mashine isiyojulikana ilikotoka.
- 125cc hadi 300ccKuanzia ya mjini hadi ya mizigo na barabara mbaya.
- Risiti kwa kila mauzoUnaondoka na karatasi inayoonyesha ulichonunua na kwa bei gani.

Modeli tulizonazo · 24
- Boxer 150 HD
- Boxer 125 HD
- TVS King
- TVS HLX 150
- TVS HLX 125
- Kinglion 150
- Fenghao 250cc
- Haojue 125
- Haojin 150cc
- Fekon 150 GP
- Fekon 125 EN
- Sinoray 150-18T
- Sinoray 150-9A
- Sinoray 180-18
- Sinoray 180-6
- Sinoray Pro Max 250cc
- Sinoray 250cc Q7 Guta
- Sinoray 300cc W9
- Sinoray 300cc W9L
- Wanitoo 250cc Guta
- Honda 150
- Honda 125
- Power Crown 250cc
- Kapori 250cc



